Pingamizi la Mbowe Kutolewa Uamuzi Septemba 6

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Uamuzi wa pingamizi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu unatarajiwa kutolewa na Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi Septemba 6, 2021

Mbowe na wenzake wanapinga Hati ya Mashtaka yanayowakabili wakidai ina kasoro za kisheria, hivyo kuomba Mahakama iitupilie mbali

Mawakili wa Serikali wamepinga hilo wakidai hoja zao hazina mashiko, na Hati ya Mashtaka haina kasoro zinazodaiwa na imekidhi matakwa ya kisheria


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad