.

9/12/2021

Prof. Makame Mbarawa Ateuliwa Kuwa Waziri wa UjenziRais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Makame Mbarawa kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi

Aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho uteuzi wake umetenguliwa

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger