.

9/05/2021

Rapa Lilnas Alliye Trend na Picha Zake Zikimuonesha kuwa Mjamzito Amepokea Zawadi Nono Kutoka Kwa Rais Mstaafu Wa Marekani Baraka Oboma


Rapa @lilnasx 🇺🇲 Alliye-Trend na Picha Zake Zikimuonesha kuwa Mjamzito Amepokea Zawadi Nono Kutoka Kwa Rais Mstaafu Wa Marekani @barackobama

#Obama Amempa Rapa huyo Zawadi Ya Nguo Za Mtoto Kwa Ajili Ya Album Yake Anayotarajia Kuiachia Hivi Karibuni #MONTERO🎵 (Sept 17, 2021)

#LilNasX Ametuthibitishia Hilo Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram (Insta-Story) Kwa Ku-share Picha Ya Zawadi Hizo Ambazo Ni Pamoja Na Nguo, Nepi, Midoli , Chupa Za Maziwa N.k

Na Unaambiwa Bado Anaendelea Kupokea Zawadi 🤣🙌

Je Wewe Ungempatia Zawadi Gani Rapa Huyu ?😀


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger