.

9/09/2021

Rapper Nonini ajitosa kwenye biashara ya viatu
Hitmaker wa "Manzi wa Nairobi", Rapper Nonini kutoka nchini Kenya amegeukia biashara ya viatu baada ya kufanya muziki kwa muda mrefu.
Miezi minne iliyopita, Nonini alisafiri mpaka Marekani kwa ajili ya kufanya shughuli za kibunifu na kuzalisha bidhaa zake kama viatu, kofia, suti na saa kupitia chapa yake ya mitindo ya Mgenge2Ru.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger