Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Rosa Ree "Nikipenda Nimependa Sifanyi Maonyesho"

Goddess na Female Rappa, @rosa_ree ambaye ni msanii pekee wa kike tokea Bongo anayewania tuzo za Afrimma mwaka huu kwenye categories tatu,amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake @king_petrousse hii leo September 24.

Hivi karibuni kwenye Empire ya E-FM, Rosa Ree alidai kuwa akiwa kwenye Love, anafeel na kuzama kabisa na wala hafanyi kama maonyesho. Rapa huyo ambaye anahit na goma la "Wana wanywe Pombe" alieleza kuwa anampenda sana mtu wake na ni tofauti na anavyochukuliwa na watu wengine kama Rosa hawezi kupenda au kuwa kwenye Mahusiano.

Na leo kaamua azime kabisa data za wale waliokuwa hawaamini kwenye mahusiano yake.

All the best kwenu @rosa_ree na @king_petrousse


 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments