.

9/02/2021

Rosa Ree "Wanawake Tuna Nguvu na Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume Ndio Maana Wanatudidimiza"Female Rapper wa hapa Bongo Rosa Ree katika kipindi cha Malavidavi (Wasafi Tv)alikingia wanawake wenzake kifua na kusema wanawake wanauwezo zaidi kuliko wanaume.

Katika mahojiano hayo amaefunguka haya:
"Inabidi watu wawape wanawake the same respect ambayo wanawapa wanaume is not more kwa sababu men are stronger than woman buh wanawake wanauwezo mkubwa kuliko wanaume na hakuna mtu anayetaka kudiscuss hii topic ndo maana dunia nzima watu wanapenda kuwapool down wanawake kwa sababu kwa sababu wanaogopa uwezo wawanawake"-Ameongea Rosa Ree


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger