“Rais mwanamke tutamuweka madarakani mwaka 2025 -Rais Samia Suluhu

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA

“Rais mwanamke tutamuweka madarakani mwaka 2025. Wameanza kutuchokoza kuandika kwenye vijigazeti kwamba Samia hatosimama, nani kawaambia?”-.“Mtaendelea kusikia wanawake zaidi wanaingia kwenye serikali kwa sababu ninajua nisipofanya mimi, hakuna atakakuja kufanya… Tukianza hapa, atakayekuja kuvuruga huo mfumo, tutamsuta, kwa hiyo bora tuanze halafu waje waguse watuone sisi ni kina nani.”


 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA


 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad