Ticker

6/recent/ticker-posts

Said Ndemla atambulishwa Mtibwa SugarUONGOZI wa Mtibwa Sugar umemtambulisha rasmi nyota Said Ndemla kuwa mali yao kwa msimu mmoja.
Ni usajili wa mkopo kwa mzawa huyo ambaye alikuwa anakipiga ndani ya kikosi cha Simba.

Taarifa rasmi kutoka Mtibwa Sugar imeeleza kuwa nyota huyo ana hadhi ya juu kabisa na atakuwa hapo kwa muda wa mwaka mmoja.

Mtibwa Sugar ambayo inatarajiwa kuwa chini ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery huu unakuwa ni usajili wake wa kwanza kuutambulisha kwa mashabiki wake baada ya dirisha kufungwa Agosti 31

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments