Sakata la Picha ya Paula, Rayvanny Aingilia Kazi Ampigia Simu ya Mkwala Shebby Love

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mara baaday ya Msanii wa Bongo Fleva, Shebby Love kutumiwa ujumbe mbalimbali ukimtaka kufuta picha ya mtoto wa muigizaji maarufu Bongo, Kajala Masanja ambaye ni Paula, ameweka wazi kuwa hamuogopi yoyote kwani hakuna kibaya alichokifanya.

Shebby amesema kuwa, alipigiwa simu na msanii Rayvanny ambaye kwa sasa ni mchumba wa Paula akimuhoji kwanini amefanya hivyo lakini, amedai kuwa msimamo wake utabaki kama ilivyo na kwamba, hafuti hiyo picha kwani hamtambui kama ni mtoto wa Kajala.

“Baada ya kusambaa kwa ile ‘cover’ ya nyimbo yangu mpya ya ‘Kitu’ niliona simu ya Rayvanny akuiniambia kuwa, yuko bize na majukumu yake akimaliza atashuhulika na mimi kisa hiyo picha, mwingine ni Kajala aliyenipa masaa 24 niitoe lakini mpaka sasa sijaona akifanya chochote.

“Niseme tu picha iliyotumika mimi naitambua kama katuni na sio mtoto wa Kajala kwahiyo naendelea na muziki wangu,” alisema.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad