Samatta asepa bongo, awashukuru Watanzania

MZAWA Mbwana Samatta na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania,  muda mfupi baada ya kunaliza kazi ya kukiongoza kikosi cha Tanzania katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia alikwea pipa.


Samatta alikuwa ni nyota kwenye mchezo wa jana uliochezwa Uwanja wa Mkapa na ubao ukasoma Tanzania 3-2 Madagascar. Ni pasi ya mwisho ya ushindi alitoa kwa Feisal Salum ambaye hakuifanyia  makosa aliijaza kimiani kwa shuti kali lililomshinda mlinda mlango.Anakwenda kwenye majukumu ya timu yake ya sasa ya Antwerp FC atakayokuwa huko kwa msimu huu  wa 2021/22.Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika:"Asante wachezaji kwa kupambana, benchi la ufundi kwa maelekezo mazuri, Watanzania kwa dua njema, kwa kheri ya kuonana Tanzania, ".đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đŸ’¥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad