Samia : Serikali Itaendeshwa kwa Matendo Makali "Kufoka Siyo Heshima"





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema amewataka viongozi kufanya kazi kwa vitendo zaidi badala ya kutoa maneno makali akisema  Serikali itaendeshwa kwa matendo makali siyo maneno makali.

Rais Samia ameyasema hayo leo Jumatatu Septemba 13,2021 wakati akiwaapisha Mawaziri Watatu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

"Serikali itaendeshwa kwa matendo makali siyo maneno makali. Kufoka siyo heshima, Sitegemei kuanza kufokea watu wazima wenzangu, nitafoka kwa kalamu", amesema Rais Samia

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad