.

9/04/2021

SERIKALI YATOA TSH. BILIONI 212.95 KWA MALIPO YA AWALI YA NDEGE
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Serikali imelipa malipo ya awali ya Tsh. bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, katika Mradi wa kufufua Shirika la Ndege

Pia, Serikali imetoa Tsh. Bilioni 50 kwa Mradi wa Reli na Tsh. Bilioni 50 kwa Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere

Ametoa kauli hiyo leo, Septemba 4, 2021 alipokuwa anazungumza na Waandishi wa Habari na kujibu maswali ya Wananchi Jijini Dodoma
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger