Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA CHANJO TEMBEZI KWA KUWAFUATA WANAOHITAJIWizara ya Afya imezindua Mpango wa Jamii Shirikishi na Harakishi wa Chanjo ya #COVID19 (Mobile Vaccination Site) na kuwafuata Wananchi walio tayari kuchanjwa

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi amesema mpango huo unalenga kuongeza vituo vya kuchanja kutoka 550 hadi 6,784 ili kuharakisha Wananchi kuchanjwa mapema

Mpango huo utasimamiwa na Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Waganga Wakuu wa Mikoa


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments