.

9/10/2021

Simba na Yanga kukutana Desemba 11 Ligi Kuu Tanzania Bara


Watani wa jadi, Simba na Yanga watakutana Desemba 11 katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa ratiba Kuu msimu wa 2021-2022 iliyotolewa leo, mechi ya kwanza kabisa ya msimu itachezwa Septemba 27 baina ya Mtibwa Sugar na Mbeya City Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger