Ticker

6/recent/ticker-posts

Simba yaahirisha tukio la uzinduzi wa jezi, matukio yote yatafanyika wiki ya Simba day
Klabu ya @simbasctanzania imetoa taarifa kuwa imeahirisha hafla yao ya uzinduzi wa jezi za msimu wa 2021/22 iliyokuwa ufanyike leo. Klabu hiyo imeeleza kuwa matukio yote ya sherehe yatafanyika Wiki ya Simba itakayoanza Septemba 13 hadi Septemba 19 mwaka huu.

Ikumbukwe kuwa siku ya jana tarehe 3/9/2021 ndio walizindua jezi zao rasmi na tayari zinapatikana madukani.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments