.

9/06/2021

Tanzia : Mwandishi wa Azam TV Afariki Dunia
Taarifa za kusikitisha na kuhuzunisha zilizotufikia zinasema Mwandishi wa habari wa Azam Media mkoa wa Kagera Nicolaus Ngaiza amefariki dunia usiku huu Septemba 5,2021 baada ya kupata ajali wilayani Muleba akitoka kutekeleza majukumu yake wilayani Biharamulo mkoani Kagera.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger