Ticker

6/recent/ticker-posts

Toleo jipya la simu ya Apple- iPhone 13 kuwa na picha yenye muundo wa video

Apple imetangasa simu yake mpya iPhone 13, inayoweza kuchukua filamu ya "muundo wa picha".

Muundo huo mpya wa sinema"una uwezo wa kung’amua kwamba mtu fulani anakaribia kujipiga picha" na kujielekeza kwake, Apple imesema – kitu hicho kinaitwa "pull focus".

Ni simu pekee ya smartambayo huwaruhusu watumiaji kuhariri picha zake baada ya kupiga picha, amesema mkuu wa Apple Tim Cook.

Hatahivyo, mengi katika muundo mpya wa simu ni maboresho ya simu zake za awali.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments