google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Ukweli Mchungu, IFM, CBE sio Vyuo Vikuu | UDAKU SPECIAL

Ukweli Mchungu, IFM, CBE sio Vyuo Vikuu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Watu huwa wanachanganya kati ya NECTA Na NACTE kwa sababu ya maneno kushabihiana NACTE ni baraza la Taifa la elimu ya Ufundi wakati NECTA ni baraza la Mitihani la Taifa. Sisi kazi yetu ni kusajili vyuo na kuangalia ubora katika vyuo vya elimu ya kati, ni vyuo ambayo sio vyuo vikuu ambayo vinatoa ngazi ya cheti, diploma, degree mpaka degree za juu.

"Vyuo ambayo sio vyuo Vikuu ni IFM, CBE, Arusha Tech., hizi ni taasisi za elimu zinatoa ngazi ya cheti hadi Masters vyote vipo chini na NACTE"

"Vyuo vikuu vyote vipo chini ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kama UDSM, UDOM na vingine" Dkt. Geofey Oleke - Mkurugenzi wa Udhibiti, Tathmini na Ufuatiliaji NACTE.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad