Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

USHAHIDI KESI YA MBOWE: POLISI WAZUIA WATU KUINGIA NA SIMUMawakili wanaomtetea Freeman Mbowe na wenzake watatu waliamua kutoka nje ya chumba cha Mahakama kupinga uamuzi wa Watu kuzuiwa kuingia Mahakamani na Simu

Baada ya majadiliano ya Pande zote, Mahakama imeruhusu Watu kuingia na Simu baada ya Upande wa Serikali kushindwa kutaja kifungu kinachozuia Kuripoti Kesi


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments