Video ya Pili ya Diamond Platnumz BILA Director Ken, Hayupo Sawa na Boss Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Nimeingia YouTube na kuitazama Naanzaje mara mbilimbili,ni bonge moja la Dude, Hanscana anazidi kutudhihirishia kuwa yeye bado ni bora muda wote. Ikumbukwe pia yeye ndiye aliyefanya chupa la IYO na likawa la moto pia. Hivyo amefanya vyupa na Diamond Platinumz back to back.

Kuna wakati Diamond alitoka kabisa kwenye mikono ya Ayo Lizer baada ya kukutana na S2kizzy,chemistry yao ikawa poa na wamefyatua hits kibao pamoja hadi sasa,kwa Ayo lizer story zikawa nyingi kama kaachana na Wasafi lakini baadae ikawa si hivyo bado ni official producer wa Wasafi na hasa yeye ndiye ufanya mastering,mizigo ikitoka kwa Zombie.

Kwa Director Kenny sijui story ni hii hii au kwake iko tofauti,hakushiriki kwenye utengenezaji wa IyO na sababu zilizokuwa zikienea ni kuwa alikuwa Zimbabwe kufanya chupa la msanii @king98official ,na wapo waliodai kuwa kwasasa hayuko sawa na boss wake japo tuliona akishea wimbo huo kwenye Insta story yake.na sasa Chupa la Pili la Boss wake, Director Kenny na Zoom Xtra wapo pembeni.

Follow @sajomedia
Kwa taarifa za burudani.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad