Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Shirikisho la soka nchini (TFF) Latoa Ticket 100 Kwa Watakao Chanjwa


Shirikisho la soka nchini (TFF) kwa kushirikiana na Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma limetoa tiketi za bure kwa ajili kutazama mechi ya ngao ya jamii kati ya Simba na Yanga kesho Jumamosi ambapo tiketi hizo za bure ni maalum kwa Mashabiki 100 wa kwanza wataokubali kuchanja chanjo ya covid 19 palepale uwanjani.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments