.

9/13/2021

Wabongo Wavamia Page ya Ex wa Rotimi Anaitwa Kim Oprah..Wamchamba Kisawa SawaBaada ya video yake ya Tik Tok aliyokuwa akimtaka @vanessamdee kutojisahau sana kwa Rotimi kusambaa, wabongo hawajamuacha salama mrembo tokea Nigeria @kimoprah .

Walichokifanya ni kumtaka akae mbali na penzi la Vanessa Mdee na kama hajamove on basi amtafute Jux walipize. Comments za kiswahili zimekuwa nyingi kiasi kwamba atashangaa😁😁.

Haya wajumbe na nyie katoeni nyongo😁


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger