Waganda Kumekucha..Waandamana Kupinga Utawala wa Muda Mrefu wa Rais Museveni



Wafuasi wa Chama cha NUP kinachoongozwa na Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) waishio Marekani wameandamana kuelekea Ofisi za Umoja wa Mataifa (UN) wakipinga Utawala wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni
-
Kiongozi wa maandamano hayo, Mathias Mpuuga amesema wanataka dunia ione. Wametaka Rais Museveni achunguzwe kwa kukiuka #HakiZaBinaadamu
-
Alipozungumza kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Rais Museveni alisema #Uganda inaheshimu Haki za Binadamu


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad