Ticker

6/recent/ticker-posts

Wanafunzi wa Darasa la saba kufanya mtihani leo


Leo Septemba 8, 2021 Wanafunzi wa Darasa la saba nchini Tanzania wanaanza mitihani yao ya taifa ya kuhitimu elimu ya msingi

Wasafi Media inawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa darasa la saba, Mwenyezi Mungu awaongoze vyema

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments