.

9/07/2021

Wanafunzi wa Kike na Kiume Watenganishwa Kwa Mapazia Vyuoni AfghanistanWanafunzi Nchini #Afghanistan wamerudi vyuoni na kukutana na mabadiliko katika Utawala wa #Taliban ambapo Wanawake wametenganishwa na Wanaume kwa mapazia au mbao katika Madarasa

Aidha, kwa Utaratibu mpya Wanawake wanapaswa kuondoka dakika tano kabla ya Wanaume ili kuzuia kuchangamana. Wasichana wataruhusiwa kuingia Darasa ikiwa watakuwa wamevaa Abaya, Nikab, Hijab pamoja na Baibui

Wanafunzi Nchini humo walisitisha Masomo kwa miezi kadhaa kutokana na Hali ya Kisiasa iliyokuwa ikiendelea kati ya Serikali na Kundi la Taliban

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger