Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Wanafunzi Waliosingizia Kuwa na Yatima ile Wapate Mikopo ya Chuo Wafutiwa MikopoSerikali imefuta mikopo kwa Wanafunzi 47 nchini #Uganda baada ya kubainika kudanganya kuwa wazazi wao wamefariki

Wanafunzi hao walibainika kujitaja kuwa yatima au wanaolelewa na mzazi mmoja ilhali wazazi wao wako hai, huku Wanafunzi 10 kati ya 47 wakijitaja kuwa watu wenye ulemavu

Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi ya Nchini humo imesema Wanafunzi hao watalazimika kujilipia ada na pia watalazimika kulipa hela ya Serikali ambayo wamekwisha tumia


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments