Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Wema Sepetu Amuonea Wivu Vanessa Mdee Kisa Mtoto


Baada ya Tukio la Vanessa mdee kujifungua mtoto wa kiume, Mrembo Wema sepetu, ameonekana kwenye comments katika picha aliyo ipost Vanessa mdee..Wema sepetu alicoment Kwa kuandika yafuatayo 👇

"I'm soo jelous..😢😢😢 congrats my baby....!! "

Comment hiyo ya Wema sepetu imezua mjadara ,Kwa baadhi ya mashabiki wa Vanessa mdee.ukiangalia reply za comment ya Wema sepetu wengi wameonekana wakimkandiya Wema!

Shabiki Mmoja amejibu

"Na unaskia wivu kweli,sio utani ,usije ukajifanya umeandika Kama utani😂😂"

Mwingine ameandika

" we si ulitoa mimba wewe wivu wa nn sasa"

Ukifatilia zile reply nyingii zinaonekana niza kumkejeli Wema sepetu ..

👉Lakini kuna reply chache ambazo zimeonekana kumtia moyo wema sepetu ikiwemo reply ya Vanessa mdee mwenyewe yeye ameandika👇

"One day you'll share a testimony too.and it will be beautiful and you will have a child IJN Amen!!!"

Hivyo ndivyo mdee alivo mjibu Wema,lakini hapo pia baadhi ya mashabiki walionekana kumkosoa mdee .

Mmoja aliandika

"Acha unafiki, acha kuongeaa mambo yasiyo weza kutokea,Hana kizazi mimba ataiokota wapi😂"

👉Ni nini MAONI YAKO ndugu msomaji??


 Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>

Post a Comment

0 Comments