.

9/10/2021

Wema Sepetu Azua Mjadala Adai Anapenda Kupigwa Akiwa Kwenye Mahusiano na Boyfriend Wake
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa muda mrefu nchini, @wemasepetu amedai aliwahi ahidiwa kutopigwa kwenye mahusiano kipindi anaanza mapenzi na mwanaume fulani ila hali ikabadilika na kiapo kikayeyuka🤪 akaanza kuchezea vitasa vya uhali gani mahabuba.👇

“Nakumbuka zamani wakati naanza mapenzi na mwanaume flani, alishanitamkia hajawahi na hatowahi kumpiga mwanamke... Ila kwangu bwana akagonga mwamba na hicho kiapo... Kiukweli nili enjoy sana...😂😂😂

Moral of the story: Kupigwa na baby wako kuna raha yake, haswa pale kwenye kubembelezana... Ila sasa sio tupigane kama wezi... Kidogo tu sio mbaya... Alafu iwe mara moja moja sio Daily... 😉😉😉

Sio lazima wote tufanane... Kuna wasio penda kupigwa ila as for me, kushtua shtua one tym one tym is very Healthy jamani..”- Wema

Sijui nani huyo aisee🤪🤪. Je, we unahisi ni mwanaume gani huyo? Ni staa au ndio wale kibaba mama. Na je kwa mwanamke kupigwa na mpenzi wako kuna raha unafeel?

Pichani ni marehemu Steven Kanumba na Charles Baba


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger