.

9/09/2021

Wimbo wa Wizikid wa Essence Umefanikiwa Kufikisha Kiwango cha Mauzo ya GOLDStar Wa Muziki Kutokea Nchini Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ @wizkidayo Anazidi Kuandika historia kubwa kwenye muziki wake, Kwani wimbo wa #Essence aliomshirikisha @temsbaby , umefanikiwa kufikisha kiwango cha mauzo ya GOLD

Ngoma Hiyo Imefikisha Mauzo Hayo Kwa Kuuzika nakala 500,000 kwa nchini Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฒ

Hivyo #Wizkid ametunukiwa Certificate na RIAA Kwa Wimbo Wake huo uliotoka Oktoba 29, 202

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger