.

9/06/2021

Wizkid Ametumbuiza Jukwaa Moja na Justin Bieber


Wizkid ametumbuiza Jukwaa moja na Justin Bieber kwenye tamasha la Made In America lililofanyika wikendi iliyomalizika mjini Philadelphia nchini Marekani. Wakali hao waliuchapa kwa pamoja wimbo wao "Essence Remix" kwa mara ya kwanza.

Wizkid alikuwa mtumbuizaji mualikwa wa JB kwenye onesho hilo, ni muendelezo wa maajabu ambayo kila uchwao amekuwa akiyafanya kupitia album yake 'Made In Lagos' lakini hasa kupitia wimbo wake #ESSENCE ambao unasumbua kwenye chart za Billboard Hot 100.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger