.

9/06/2021

''Madini ya Tanzanite yalikuwa yanazagaa tu Kila Nchi" Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema ni wakati sasa madini ya Tanzanite yatambulike kuwa yanapatikana nchini Tanzania pekee, tofauti na zamani ambavyo yalikuwa yanazagaa kila nchi.


Rais Samia ameyasema hayo leo Agosti 5, 2021 wakati akiongea na wananchi wa Mirerani Simanjiro waliofurika nje ya ukuta wa Mirerani ambapo Rais atakuwa anarekodi filamu maalum itakayoonesha vifutio vya Tanzania.''Huko nyuma Tanzanite yetu ilikuwa inazagaa tu, ukienda Kenya kuna Tanzania, Sijui Singapore Tanzania, India, inauzwa tu ovyo ovyo. Sasa tunataka tuwaambie ulimwengu kuwa Tanzanite kwao ni hapa'' - Rais Samia Suluhu.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger