.

9/08/2021

Yanga kuwakosa wachezaji watatu wa kimataifaMsemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema, Yanga itawakosa wachezaji watatu (3) wa kimataifa kuelekea mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria.

Wachezaji hao ni Djuma Shaban, Khalid Aucho na Fiston Mayele ambao I.T.C zao zimechelewa kutokana na mikataba ya wachezaji hao ilikuwa ikitamatika Agosti 30.

“Kwa mujibu wa taratibu za CAF klabu ilichelewa kuwasilisha majina yao katika kikosi chetu cha kushiriki michuano ya klab
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger