.

9/09/2021

Zari Atia NENO Ujauzito wa Vanessa Mdee na Rotimi "Watu Wazima Tuliona Mbali"Mojaa ya mastaa waliotoa maoni yao baada ya staa wa muziki @vanessamdee kupost picha zikimuonyesha akiwa mjamzito ni pamoja na @zarithebosslady ambaye anadai yeye aliona mbali zaidi kwenye couple hii ya Vee na Rotimi.

Mtu mzima Zari aliandika “watu wazima tuliona mbali. Mashallah🙌” .

Penzi la Vanessa Mdee na Rotimi linaonekana ni penzi lenye malengo tofauti na mahusiano ambayo Vee alikuwapo kabla japo maneno yalikuwa mengi hasa watu wakiamini Rotimi anamtumia Vanessa kukuza soko la muziki wake Tanzania.

Ukiachana na Afrika Mashariki,Taarifa za wawili hawa wanaotarajia kupata mtoto wa kiume zimepostiwa na kurasa mbalimbali nchini Nigeria na Marekani ikiwemo The Shaderoom, Ukurasa wa udaku wa nchini Marekani wenye zaidi ya wafuasi milioni 24.6, Post hiyo ina zaidi ya likes 136k na comments 1700+

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger