Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Zari Hassan "Nita endelea Kuwa Bora na Mrembo wa Kuvutia Hata Kama Nina Miaka 41"
Unaweza Sema Malengo ya kupigania utajiri, mrembo na public figure @zarithebosslady ye alishamaliza na kuondoka huko.

September 23, 1980 alizaliwa na na Mwezi huu wa tisa ametimiza miaka 41 akiwa bado ana urembo wake ule ule.

Hasa tuachane na hayo, Zari kajipangia malengo yake baada kutimiza miaka 41 ya kuzaliwa, Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zari ameandika kuwa kwa sababu binafsi ataendelea kuwa bora na Mrembo (hotter woman) na nadhifu kuliko awali,akijitolea kwaajili ya amani yake ya ndani kabisa.

Kikubwa kwa Zari hivi sasa ni faraja ya Moyo wake tu.🙃


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments