Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Abby Chams Kuchukua Nafasi ya Vanessa Mdee Kwenye GameVanessa alipopata bwana huko marekani aliacha mziki, kiukweli alituacha na simanzi kubwa maana tuliamini kwamba yeye ndio mwanamke pekee atakaye Itangaza Tanzania duniani kote kupitia Sanaa yake.

Tangu Vanessa aache muziki hatujapata mwanamke wa kuziba pengo lake, Ila huyu Binti @abby_chams anaonekana ndio mrithi halisi wa Vanessa.

kwanza abby chams anaakili timamu sana, ni mwanamuziki, ninaposema mwanamuziki ni kwamba mbali na kuimba anajua pia kupiga vyombo Vingi vya muziki, binti anasauti tamu sana, sio hawa wa auto tune.

Inabidi serikali na watanzania tumsupport kwa hali na mali, Ni jambo zuri sana kuona Harmonize, Diamond, kenny na wengine kibao kupost ngoma mpya ya huyu binti, kimsingi akaze tu.

Pia aepuke wanaume wa Daslam maana mjomba nchumaliii kashamsogelea, kama alipita na kipaula atashindwa haka. Pia kwenye Video ya ngoma yake mpya, Calisah ndio Video king, Abby awe makini na calisah..bongo kuna mastaa wa kiume ni wepesi mno kutumia Upepo wa madada.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments