Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Album ya Alikiba yafikisha streams 1.12m Spotify chini ya saa 24, Kenya listening party ni leo

 


Album ya Alikiba yafikisha streams 1.12m Spotify chini ya saa 24, Kenya listening party ni leo

Ikiwa bado haijatimiza siku moja, album mpya ya msanii @officialalikiba "Only One King" yajiwekea rekodi ya aina yake kupitia Apple Music.

Tangu iachiwe usiku wa kuamkia leo, tayari ina saa 14 lakini imefanikiwa kuchumpa na kuingia kwenye Top Albums za mtandao wa Apple Music duniani kote.

Album hiyo yenye jumla ya ngoma 16, inakamata namba MOJA huku ikiiacha nafasi TATU album ya Drake 'Cetified lover Boy' (CLB). Nafasi ya pili anaikamata rapper Meek Mill na album yake 'Expensive Pain' huku nafasi ya nne ikishikiliwa na Lil Nas X kupitia album yake 'Montero'.

@officialalikiba ambaye ni Mkurugenzi wa lebo ya Kings Music, kwasasa anashikilia rekodi hiyo Apple Music na hili linadhihirisha kuwa "Only One King" ni zawadi yake kwa mashabiki wake, ambao wamekuwa wakimsapoti tangu alipoingia katika karia ya muziki.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments