Ticker

6/recent/ticker-posts

Ali Kiba Akimbiza Huko YouTube, Ashika Namba 1,2 na 3


Mkali wa muziki wa BongoFleva @officialalikiba kupitia album yake ya #OnlyOneKing ameweza kuuteka mtandao wa YouTube upande wa trending tab kwa hapa Tanzania.

Kiba ameweza kufanya hivyo kwa kuingiza nyimbo 3 kwenye YouTube trending tab hapa nchini, akiingiza nyimbo katika nafasi ya kwanza mpaka ya 3 ambazo ni Oya Oya, Bwana mdogo ft @patorankingfire na Niteke ft @blaqdiamond150 .

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments