Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Ali Kiba "Kibinadamu Najisikia Vibaya Kesi ya R Kelly Lakini Sheria Ichukue Mkondo Wake"


“Kwakuwa tunafahamiana na R Kelly, kiubinadamu ninajisikia vibaya kwa kile anachopitia lakini ninaposikia aliyoyafanya kama ni kweli siwezi kuwa upande wale hata kidogo, siwezi kuunga mkono, sheria ichukue nafasi yake!” -@OfficialAlikiba kuhusu kile anachopitia R Kelly ikiwa ni Msanii ambaye amewahi kufanya nae kazi.

Lakini Pia Alikiba Amegusia Suala Zima La Skendo Ambapo Kafunguka Kwa Kusema 🗣“Nadhani malezi yamechangia kuniepusha mimi na skendo, lakini pia skendo zinategemea umewaaminisha nini watu, kwangu ni ngumu mimi kufanya skendo kwasababu skendo sio maisha yangu, watu wamejaribu kunitengenezea lakini mimi na skendo ni tuko mbalimbali” -@OfficialAlikiba

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments