Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Alikiba amuomba msamaha Esha Buheti kwa kusahau kumshukuru janaBaada ya tukio kumalizika aliyekuwa mwenye tukio @officialalikiba alianza kutoa shukrani kwa watu wake wa karibu pamoja na ndugu na jamaa waliohudhuria.

Kwa bahati mbaya aliwataja wote ila akamsahau muigizaji ambaye pia ni rafiki yake @esha.s.buheti hali ambayo ingemfanya ajisikie vibaya.

Kupitia Insta story ya @officialalikiba ameamua kumuomba msamaha na kusema kuwa alijisahau na sio makusudi kama ujumbe wake unavyojieleza hapo.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments