Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Amber Lulu "Namtamani JUX Akijitusu Nampatia Mtoto"Lulu amesema amepanga kuzaa watoto 5 Kila mmoja na baba yake sababu akizaa na baba mmoja kisha akafariki yeye ataishia kupata tabu mwenyewe na watoto Aidha, mrembo huyo ameongeza kwa kumtaja Juma Jux kuwa ndio mwanaume anayetamani kupata naye mtoto kwa sababu ana akili, yupo smart na atamuongoza vyema pia amekuwa akimfuatilia msanii huyo kwa muda mrefu

Ikumbukwe pia Amber Lulu mwenye vituko vya rejareja kipindi cha nyuma alishaweka wazi kutamani kuwa kwenye mahusiano na Diamond Platnumz, lakini hata hivyo nafasi ya kuwa na Diamond inaonekana ni nyembamba sababu baada ya Diamond kuzaa watoto 4 na wanawake tofauti amekiri hivi karibuni kuwa kwasasa kuwa kwenye mahusiano na wanawake sio kipaumbele chake bali nguvu amezielekeza kwenye kuzidi kufanya kazi ili kuendelea kufanikiwa kiuchumi..

Una maoni gani?...


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments