Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Amuua Mkewe Baada ya MKE Kumwambia Kuwa Hajiwezi Kitandani...Stephen Nyangeri Mauti mwenye miaka 25 amefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumuua mkewe, Faith Nyatich kwa kumkaba Koo

Inadaiwa wawili hao walifunga Ndoa Agosti 2021 na miezi miwili baadaye Ndoa hiyo iligeuka kuwa chungu na Faith alipata Mwanaume mwingine anayeishi Kaunti ya Kajiado

Nyangeri alikuwa akimsihi Mkewe asiondoke na Faith alimfokea na kumkejeli Nyangeri akimtusi, “Wewe hujiwezi kitandani. Wewe ni bwege tu ndio maana nilikutoroka.”

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments