Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Atenguliwa kiuno na mchepuko wa mke wake 
Masanja Gamalu, mzee anaekadiriwa kuwa na miaka 50 ameiomba serikali imsaidie aweze kupata haki yake ya matibabu baada ya kuvamiwa na kupigwa hadi kuvunjika mgongo na kiuno na aliyekuwa hawala wa mke wake ambaye alikimbilia mkoani Shinyanga.


Masanja Gamalu, Mwanaume ambaye alipigwa na mchepuko wa mke wake
Kero hiyo imetolewa mbele ya mkutano wa hadhara baina ya wananchi na mkuu wa mkoa wa Geita Rosemarry Senyamule, uliofanyika mtaa wa CCM stendi Katoro wenye lengo la kusikiliza kero za wananchi.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments