Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Aunty Ezekiel "Nina Miaka 28 Alafu Mume Wangu Kusah Ana Miaka 29 Najua Hamuwezi Amini"Mwigizaji maarufu hapa Tanzania @auntyezekiel katika mahojiano na BonaTv usiku wa kuamkia leo amefunguka kuhusiana na umri wake yeye pamoja na mume wake @_kusah_ .Katika mahojiano amefunguka haya:•

"Najua Watu Hawato Amini Ila Ukweli Ndio Huu Mimi Nina Miaka 28 Na Mume Wangu Kusah Anamiaka Nadhani 29 Wale Wanaosema Nimemzidi Umri Wakae Kimya Tu Maana Ukweli Ndio Huo"-Ameongea Aunt Ezekiel

NINI MAONI YAKO

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments