Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Baada ya Timu ya Biashara United Kushindwa Kwenda Kucheza Mchezo wa Marudiano Libya, Edo Kumwembe Afunguka Makubwa


Ameandika Edo Kumwembe kupitia Ukurasa wake wa Instagram baada ya Timu ya Biashara United Kushindwa Kusafiri kwa Mchezo wa Marudiano:

"Aibu sio ya Biashara pekee....ni aibu ya taifa....ujinga...upuuzi...hasa baada ya kuongoza kwa mabao mawili home....shame on us...kila mmoja wetu....kuna mahala sitaki kugusa nitajikuta Keko...but its so shame..." 

 Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>

Post a Comment

0 Comments