Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Baraka The Price Kamshindwa Kukaa KIMYA Baada ya Gigy Kumtaja Skendo ya Alikiba na Shilole


Kama ambavyo inatajwa kuwa kawaida yake mwanamuziki anaewakilisha Rock city /mwanza @barakahtheprince_ amejibu kwa namna yake baada ya msanii @gigy_money_og kumuhusisha/ kumtilea mfano wakati akizungumzia sakata la AliKiba na Shilole.

Kupitia insta live ya Gigy alisikika akimtaja #barakadaprince kwenye mfano kumuhusu AliKiba, kwa kudai "kipaji bila/nidhamu na kujiskia ni sawa na baraka da prince' ,jambo ambalo huenda #Baraka hakulipenda.Ssa kupitia ukurasa wake wa instagram Baraka ameamua kumjibu kwa kumpost baadhi ya Picha zake (gigy) katika Instagram page yake na kuandika ujumbe unao onekana kama kijembe kumuhusu @gigy_money_og .

✍🏾@keviiiy.iam


 Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>

Post a Comment

0 Comments