Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

BOT Kuchukua Hatua dhidi ya Matumizi Mabaya ya Noti
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanza kuchukua hatua dhidi ya watu wote watakaohusika na vitendo vya matumizi mabaya ya noti za Tanzania kwa njia yoyote ikiwemo kuweka pesa sakafuni au sehemu yoyote ambayo sio nadhifu.


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments