Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Breaking News : Mahakama Kuu ya Tanzania Imeamuru Cyprian Musiba Amlipe Bernard Membe Tsh Bilioni 6 Kwa Kumchafua


Mahakama Kuu ya Tanzania, leo Alhamisi, imemuamuru Mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba kumlipa Sh.6 bilioni, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe kama fidia ya kumchafua kupitia vyombo vyake vya habari.Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Joacquine De Mello.


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments