Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

BREAKING News: Simba Yatangaza Kuachana na Kocha WakeKLABU ya Simba imetangaza kuachana rasmi na Kocha wake Didier Gomes Da Rosa raia wa Ufaransa baada ya pande zote mbili kufikia maridhiano.

Hatua hii inakuja ikiwa ni siku mbili tangu Simba alipoondoshwa kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika baada ya kupokea kichapo cha bao 3-1 kutoka kwa Jwaneng Galaxy ya Botswana, juzi Jumapili.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments