Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Breaking News:Kocha Ole Gunnar Kusalia Man United
Kocha Mkuu wa Manchester Unite, Ole Gunnar Solskjaer anatarajiwa kubaki na kuendelea kuinoa timu hiyo licha ya mwendelezo wa matokeo mabovu hususani ya bao 5-0 aliyapata juzi baada ya kupigwa na Liverpool, Sky Sports Italia imethibitisha.


Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu ya Manchester, Richard Arnold jana alivunja appointment zote za vikao vya wageni ili kukutana na Mmiliki wa Klabu hiyo, Joel Glazer kwa ajili ya kujadili hatima ya Solskjaer huku Antonio Conte akitajwa kuwasiliana na Man U kwa ajili ya kuchukua mikoba ya Solskjaer.

Una maoni gani? Solskjaer aondoke Man U ama apewe muda?

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments