Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

CAF yakataa Ombi la Biashara United, Al Ahly Tripoli waingiza timu

Shirikisho la soka Afrika (CAF) limekataa ombi la Biashara United lililotumwa CAF kupitia TFF la kutaka mchezo wao wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli ya Libya kusogezwa mbele.

Ombi hilo lilitumwa CAF baada ya Biashara United kushindwa kusafiri kwa ndege ya kukodi kutoka Tanzania kwenda Libya sababu ya kukosa vibali vya kimataifa vya kutumia anga ya Sudan, Sudan Kusini na kutua Benghazi.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments